Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akitoa maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa kuzungumza na Watumishi wa Umma na Wananchi wakati alipomwakilisha Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Wiki ya Utumishi wa Umma kwenye Viwanja vya Chanangali jijini Dodoma.