Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Dkt. Jabiri Bakari na Mkurugenzi wa Mikataba ya Utendaji Kazi Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bi. Zainab Kutengezah wakiafuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene wakati akifungua Mkutano wa 11 wa Wanachama wa AAPAM Tawi la Tanzania.