Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Juma Mkomi na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi akifungua mkutano maalum wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi yake uliolenga kuwasilisha mapendekezo ya bajeti na mpango kazi wa mwaka wa fedha 2024/2025 uliofanyika Jijini Dodoma leo tarehe 26.03.2024.