Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akiwasili na kukalibishwa na Mwenyekiti wa AAAPM Tawi la Tanzania, Bi. Leila Mavika kwenye ufunguzi wa Mkutano wa 11 wa Wanachama wa AAPAM Tawi la Tanzania katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Mei 2, 2024.