Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Deus Sangu akimkabidhi tuzo Mkuu wa Idara ya Rasilimaliwatu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, Bw. Abdulrahman Muya baada ya taasisi hiyo kuwa mshindi wa pili usimamizi bora wa Rasilimaliwatu. Wa kwanza kushoto ni Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais-UTUMISHI, Bw. Juma Mkomi na wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Utumishi wa Umma, Bi. Felista Shuli.